Karibu
Jukwaa la Taa linalenga kutoa tajriba mpya ya kujifunza elimu za kisheria, kwa kutumia zana za kiufundi katika kiolezo rahisi na cha kuvutia kinachofaa makundi tofauti tofauti ya umri.
Jukwaa hili linatoa njia shirikishi na yenye ushindani ya kujifunza elimu za kisheria katika nyanja zake mbalimbali, ili kufanya kutafuta elimu kuwa jambo la kufurahisha.
175,548
wanafunzi waliosajiliwa
21,767,149
mnufaika
195
Nchi
1,730
Ukurasa wa elimu
Mada kuu
6Kuhusu jukwaa hili
- Chagua mada unazotaka kujifunza na uanze kujifunza moja kwa moja
- Unaweza kukamilisha kila kitengo che kielimu kwa chini ya dakika tano
- Jaribu elimu yako ya kisheria katika nyanja mbalimbali
- Kusanya medali na pointi na ushindane na watumiaji wengine