Endelea kujifunza

Umeshaingia
Jisajili sasa kwenye jukwaa la Taa ili uanze kujifunza, na fuatialia maendeleo yako, na kukusanya pointi, na uingie kwenye mashindano.Baada ya kujisajili, utapata cheti cha kielektroniki katika mada ambazo utajifunza.

Qur-ani Tukufu

Mada hizi zinalenga kwamba mwanafunzi aweze kupata picha halisi ya Qur-ani Tukufu na fadhila zake, na azijue hukumu zake, adabu zake na jinsi ya kufasiri maneno yake.

Masomo

Maana ya Qur-ani Tukufu
Fadhila za Qur-ani Tukufu
Hukumu na adabu za kusoma Qur-ani Tukufu
Kuitafakari Qur-ani Tukufu na kuitafsiri