Endelea kujifunza

Umeshaingia
Jisajili sasa kwenye jukwaa la Taa ili uanze kujifunza, na fuatialia maendeleo yako, na kukusanya pointi, na uingie kwenye mashindano.Baada ya kujisajili, utapata cheti cha kielektroniki katika mada ambazo utajifunza.

Swala

Swala ndiyo msingi wa dini na ndiyo ibada muhimu sana ambayo mtu lazima aanze nayo katika kujifunza kwake. Ni nguzo ya pili ya dini ya Kiislamu baada ya Shahada, na Uislamu wa mtu haukamiliki isipokuwa kwa kuitekeleza.

Masomo

Maana na fadhila zake
Masharti na hukumu za swala
Namna ya kuswali
Maana ya Surat Al-Fatiha
Nguzo za Swala, wajibu zake, yenye kuibatilisha, na yachukizayo ndani yake
Swala zinazopendekezwa.
Nyakati ambazo swala za kujitolea zimekatazwa
Swala ya Jamaa (mkusanyiko)
Unyenyekevu katika Swala
Swala ya Ijumaa
Swala ya msafiri na mgonjwa

picha za kuona