Endelea kujifunza

Umeshaingia
Jisajili sasa kwenye jukwaa la Taa ili uanze kujifunza, na fuatialia maendeleo yako, na kukusanya pointi, na uingie kwenye mashindano.Baada ya kujisajili, utapata cheti cha kielektroniki katika mada ambazo utajifunza.

Hukumu za Safari

Uislamu ni dini ya maisha; kwani inafungamana na hali zote za mwanadamu, katika kukaa kwake nyumbani na kusafiri kwake, katika kutulia kwake na harakati zake, katika hali ya utani na hali isiyokuwa na utani. Na safari ni miongoni mwa maisha haya ya kijamii. Nazo hazikosi hukumu za vitu ambavyo Mwenyezi Mungu Mtukufu anataka tuvikumbuke na kuvifanya, au mambo ambayo Mwenyezi Mungu anataka tuyaepuke na tuyaache. Mwenyezi Mungu akipenda, tutajifunza katika sehemu hii baadhi ya hukumu za safari.

Masomo

Mambo ya kiimani na Safari
Safari na usafi
Kuswali na kufunga saumu kwenye safari
Hukumu za jumla zinazopatikana katika safari za mara kwa mara