Endelea kujifunza

Umeshaingia
Jisajili sasa kwenye jukwaa la Taa ili uanze kujifunza, na fuatialia maendeleo yako, na kukusanya pointi, na uingie kwenye mashindano.Baada ya kujisajili, utapata cheti cha kielektroniki katika mada ambazo utajifunza.

Kufunga saumu

Kufunga saumu katika Ramadhani ni nguzo ya nne ya Uislamu. Na kufunga saumu ni ibada ya heshima aliyoifaradhisha Mwenyezi Mungu juu ya waislamu, kama alivyoifaradhisha juu ya umma waliotangulia ili kufikia uchamungu, ambao ndio ufunguo wa heri yote.

Masomo

Mfungo wa Ramadhani
Mambo yanayovunja saumu
Walioruhusiwa na Mwenyezi Mungu kutofunga katika mwezi wa Ramadhani.
Kufunga saumu kwa hiari
Siku kuu ya Iddi
Iddul-Fitr na Iddul-Adha