Endelea kujifunza

Umeshaingia
Jisajili sasa kwenye jukwaa la Taa ili uanze kujifunza, na fuatialia maendeleo yako, na kukusanya pointi, na uingie kwenye mashindano.Baada ya kujisajili, utapata cheti cha kielektroniki katika mada ambazo utajifunza.

Imani

Jumbe zote za Manabii kwa kaumu zao zilikubaliana juu ya kumuabudu Mwenyezi Mungu peke yake bila mshirika, na kukufuru vyote vinavyoabudiwa badala ya Mwenyezi Mungu. Na huu ndio uhakika wa maana ya neno la Tauhid. Nalo ni neno ambalo mtu huingia kwalo katika dini ya Mwenyezi Mungu.

Masomo

Kuamini uwepo wa Mwenyezi Mungu
Kuamini umola wa Mwenyezi Mungu
Kuamini Uungu wa Mwenyezi Mungu
Kuamini Majina ya Mwenyezi Mungu na Sifa zake
Kupambana na itikadi potofu za mioyo ya watu
Kuamini Malaika
Kuamini Vitabu
Kuamini Mitume
Kumuamini Muhammad, rehema na amani ziwe juu yake
Kuamini Siku ya Mwisho
Kuamini Mipango ya Mwenyezi Mungu
Je, mtu anaingiaje katika Uislamu?