Endelea kujifunza

Karibu

Jukwaa la Taa linalenga kutoa tajriba mpya ya kujifunza elimu za kisheria, kwa kutumia zana za kiufundi katika kiolezo rahisi na cha kuvutia kinachofaa makundi tofauti tofauti ya umri.

Jukwaa hili linatoa njia shirikishi na yenye ushindani ya kujifunza elimu za kisheria katika nyanja zake mbalimbali, ili kufanya kutafuta elimu kuwa jambo la kufurahisha.

175,551

wanafunzi waliosajiliwa

21,767,200

mnufaika

195

Nchi

1,730

Ukurasa wa elimu

Mada kuu

6

Kuhusu jukwaa hili

  • Chagua mada unazotaka kujifunza na uanze kujifunza moja kwa moja
  • Unaweza kukamilisha kila kitengo che kielimu kwa chini ya dakika tano
  • Jaribu elimu yako ya kisheria katika nyanja mbalimbali
  • Kusanya medali na pointi na ushindane na watumiaji wengine

Imesimuliwa kutoka kwa Abu Huraira, Mwenyezi Mungu amuwiye radhi, kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu - rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake - alisema, "Mwenye kufuata njia ya kutafuta kwayo elimu, Mwenyezi Mungu atamfanyia wepesi njia ya kwenda Peponi". (Imepokewa na Muslim).