Endelea kujifunza

Umeshaingia
Jisajili sasa kwenye jukwaa la Taa ili uanze kujifunza, na fuatialia maendeleo yako, na kukusanya pointi, na uingie kwenye mashindano.Baada ya kujisajili, utapata cheti cha kielektroniki katika mada ambazo utajifunza.

Sunna za Nabii rehema na amani ziwe juu yake

Sunna za Mtume wa Mwenyezi Mungu, rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, ni Ufunuo ambao Mwenyezi Mungu alimfunulia Mtume wake Muhammad, rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake. Nazo pamoja na Kitabu cha Mwenyezi Mungu, ndio msingi na chanzo cha dini ya Uislamu, na hazitengani kamwe kama vile shahada mbili hazitengani: kushuhudia kwamba hakuna mungu isipokuwa Mwenyezi Mungu na kushuhudia kwamba Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na yeyote asiyeamini Sunna, basi pia haamini Qur-ani.

Kiwango cha kukamilika kwa somo Sunna za Nabii rehema na amani ziwe juu yake