Endelea kujifunza

Umeshaingia
Jisajili sasa kwenye jukwaa la Taa ili uanze kujifunza, na fuatialia maendeleo yako, na kukusanya pointi, na uingie kwenye mashindano.Baada ya kujisajili, utapata cheti cha kielektroniki katika mada ambazo utajifunza.

Qur-ani Tukufu

Mwenyezi Mungu Mwenye Nguvu, Mtukufu aliiteremsha Qur-ani kwa mbora wa viumbe vyake na wa mwisho katika Manabii wake Muhammad, rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, ili kuwaongoza wanadamu na kuwatoa kwenye viza mbalimbali na kuwapeleka kwenye nuru. Yeye Mtukufu alisema, "Bila shaka, imewajia kutoka kwa Mwenyezi Mungu nuru na Kitabu kinachobainisha. Mwenyezi Mungu huwaongoa kwacho mwenye kufuata radhi yake katika njia za salama, na huwatoa katika giza mbalimbali kuwapeleka kwenye nuru idhini yake, na huwaongoa kwenye njia iliyonyooka." [Al-Ma’idah: 15, 16]

Kiwango cha kukamilika kwa somo Qur-ani Tukufu