Endelea kujifunza

Karibu

Jukwaa la Taa linalenga kutoa tajriba mpya ya kujifunza elimu za kisheria, kwa kutumia zana za kiufundi katika kiolezo rahisi na cha kuvutia kinachofaa makundi tofauti tofauti ya umri.

Jukwaa hili linatoa njia shirikishi na yenye ushindani ya kujifunza elimu za kisheria katika nyanja zake mbalimbali, ili kufanya kutafuta elimu kuwa jambo la kufurahisha.

193,517

wanafunzi waliosajiliwa

23,114,260

mnufaika

195

Nchi

2,733

Ukurasa wa elimu

Mada kuu

6

Njia za kujifunza

Mwanamke wa Kiislamu

6 lessons
Sheria ya Kiislamu ilikuja kwa ajili ya kuwatukuza wanawake, na ushahidi wa hilo ulioko katika Kitabu cha Mwenyezi...

Familia ya Kiislamu

11 lessons
Uislamu uliipa familia mazingatio makubwa na uangalizi kamili. Kwani, Sheria imejengeka juu ya kuwaongoza waja...

Miamala ya kimali

2 lessons
Dini ya Uislamu ni Dini inayojumuisha nyanja zote za maisha. Kwani, ni dini ya ibada na pia ni ya miamala. Waja...

Mwislamu mpya

38 lessons
Kwa kuingia katika Uislamu, mtu huanza safari katika maisha haya ya dunia ambayo ni tofauti na kila kitu kilichopita...

Kuhusu jukwaa hili

  • Chagua mada unazotaka kujifunza na uanze kujifunza moja kwa moja
  • Unaweza kukamilisha kila kitengo che kielimu kwa chini ya dakika tano
  • Jaribu elimu yako ya kisheria katika nyanja mbalimbali
  • Kusanya medali na pointi na ushindane na watumiaji wengine

Imesimuliwa kutoka kwa Abu Huraira, Mwenyezi Mungu amuwiye radhi, kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu - rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake - alisema, "Mwenye kufuata njia ya kutafuta kwayo elimu, Mwenyezi Mungu atamfanyia wepesi njia ya kwenda Peponi". (Imepokewa na Muslim).