Endelea kujifunza

Umeshaingia
Jisajili sasa kwenye jukwaa la Taa ili uanze kujifunza, na fuatialia maendeleo yako, na kukusanya pointi, na uingie kwenye mashindano.Baada ya kujisajili, utapata cheti cha kielektroniki katika mada ambazo utajifunza.

Miamala

Ni hukumu za kisheria za kivitendo zinazodhibiti vitendo vya mtu anayejukumishwa kisheria na uhusiano wa mtu na watu wengine. Zinajumuisha uhusiano wa Muislamu na wale wanaokubaliana naye au wasiokubaliana naye katika dini, hukumu za kiraia na za kibinafsi, miamala inayohusiana na mali, mikataba na mengineyo.

Kiwango cha kukamilika kwa somo Miamala