Jisajili sasa kwenye jukwaa la Taa ili uanze kujifunza, na fuatialia maendeleo yako, na kukusanya pointi, na uingie kwenye mashindano.Baada ya kujisajili, utapata cheti cha kielektroniki katika mada ambazo utajifunza.
Jukwaa la Taa ni jukwaa lisilolipishwa kabisa, ambalo linafanya juhudi kutoa uzoefu wa kielimu wa kielektroniki ili kufundisha maarifa ya lazima ya kisheria kupitia utumiaji mbunifu wa seti ya zana za kiufundi katika moduli rahisi na ya kuvutia inayofaa makundi tofauti tofauti ya kiumri. Jisajili kupitia kiungo hiki, na uanze kujifunza sasa: learningislam.com/register