Endelea kujifunza

Umeshaingia
Jisajili sasa kwenye jukwaa la Taa ili uanze kujifunza, na fuatialia maendeleo yako, na kukusanya pointi, na uingie kwenye mashindano.Baada ya kujisajili, utapata cheti cha kielektroniki katika mada ambazo utajifunza.
Je, yaliyomo yanatayarishwa vipi katika jukwaa la Taa?
Tulitengeneza jukwaa la Taa kulingana na maono kabambe ya kuunda jukwaa la kujifunza kielektroniki linalochanganya urahisi wa matumizi, na uzuri wa umbo, na usahihi wa yale yaliyomo ya kielimu yaliyowasilishwa, na yanayofaa kwa vikundi tofauti tofauti. Zaidi ya hayo, jukwaa la Taa linashikamana na njia ya Ahlul-Sunnah wal-Jama'a, na yaliyomo ya kielimu yaliyowasilishwa yalitayarishwa kwa kuzingatia vyanzo vya kielimu vinavyotegemewa, na yakadhibitishwa na kuchunguzwa na kamati ya wanafunzi waliohitimu.